Trending

#Kilimo

Dünyanın dört bir yanından insanlardan Kilimo hakkında 402K Reels videosu izle.

Giriş yapmadan anonim olarak izle.

402K posts
NewTrendingViral

Trend Reels

(12)
#Kilimo Reels - @msakusafifarm tarafından paylaşılan video - Kilimo na ufugaji ni shughuli ambazo mtu aliyeajiriwa anaweza kufanya bila kuacha kazi na akatengeneza kipato kinachozidi mshahara wake.

Cha msingi a
3.3K
MS
@msakusafifarm
Kilimo na ufugaji ni shughuli ambazo mtu aliyeajiriwa anaweza kufanya bila kuacha kazi na akatengeneza kipato kinachozidi mshahara wake. Cha msingi anza na mtaji kidogo, ujifunze na ku-upscale kadri unavyoelewa unachofanya. Usiweke pesa nyingi kwa wakati mmoja wakati unapoanza. #mboleaniyara #tukafosichaka
#Kilimo Reels - @vale_nafaka tarafından paylaşılan video - Kilimo kina fursa nyingi sana za biashara na ajira, hasa katika nchi za Afrika kama Tanzania ambako ardhi na hali ya hewa inaruhusu mazao mengi. Hapa
12.3K
VA
@vale_nafaka
Kilimo kina fursa nyingi sana za biashara na ajira, hasa katika nchi za Afrika kama Tanzania ambako ardhi na hali ya hewa inaruhusu mazao mengi. Hapa kuna baadhi ya fursa kuu za kilimo 🌱: ⸻ 1. Kilimo cha Mazao ya Chakula 🌽 Mazao ya chakula yana soko la uhakika kwa sababu watu wanahitaji kula kila siku. Mfano: • Mahindi • Mpunga • Maharage • Viazi vitamu Faida: soko ni kubwa ndani ya nchi na nchi jirani. ⸻ 2. Kilimo cha Mazao ya Biashara 💰 Mazao haya huuzwa kwa bei nzuri ndani na nje ya nchi: • Kahawa • Korosho • Pamba • Chai Mazao haya yanaweza kuuzwa kwa viwanda au kusafirishwa nje. ⸻ 3. Kilimo cha Matunda 🍍 Matunda yana soko kubwa sana hasa mijini: • Nanasi • Embe • Parachichi • Tikiti maji Faida: yanaweza kuuzwa fresh au kutengeneza juisi. ⸻ 4. Kilimo cha Mboga mboga 🥬 Ni biashara inayolipa haraka kwa sababu hukua kwa muda mfupi: • Nyanya • Kabeji • Vitunguu • Pilipili hoho Soko lake ni hoteli, masoko, na supermarket. ⸻ 5. Ufugaji 🐄 Kilimo kinaenda sambamba na ufugaji: • Ng’ombe (maziwa na nyama)#
#Kilimo Reels - @mawo_buy (onaylı hesap) tarafından paylaşılan video - 💧🌱 MIFUMO YA UNYWESHELEAJI KWA GHARAMA NAFUU 🌱💧

Kilimo cha kisasa hakihitaji gharama kubwa - kinahitaji mfumo sahihi.

✅ 1️⃣ Drip Irrigation (Mat
160.6K
MA
@mawo_buy
💧🌱 MIFUMO YA UNYWESHELEAJI KWA GHARAMA NAFUU 🌱💧 Kilimo cha kisasa hakihitaji gharama kubwa — kinahitaji mfumo sahihi. ✅ 1️⃣ Drip Irrigation (Matone) • Hutoa maji kidogo kidogo moja kwa moja kwenye mizizi • Huokoa maji sana • Inafaa mboga, matunda & bustani • Gharama ndogo kuanzia shamba dogo ✅ 2️⃣ Sprinkler System • Maji yananyunyizwa kama mvua • Inafaa mashamba ya kati • Rahisi kufunga na kuhamisha ✅ 3️⃣ Pump + Hose System • Pump ya maji + mabomba • Inavuta maji kisima, bwawa au mto • Mfumo rahisi na wa bei nafuu kuanza 💰 Kwa nini ni muhimu? • Huongeza mavuno • Hulima mwaka mzima • Huokoa muda & nguvu • Inaweza kuwa pia biashara ya kufunga mifumo kwa wakulima wengine 👉 Kilimo bila maji ni kubahatisha. 👉 Mfumo wa umwagiliaji = uhakika wa mavuno. 📍 Vifaa vya mifumo ya umwagiliaji vinapatikana MAWO BUY – Mwananyamala Ujiji 📞 0750401818 / 0757471618 #Unywesheleaji #KilimoChaKisasa #DripIrrigation #MAWOBUY #AjiraKilimo PigaPesa
#Kilimo Reels - @kilimo_faida_tz tarafından paylaşılan video - Fanikisha kilimo bora cha mahindi na Super Gro! 🌽💧
Kwa kutumia Super Gro, mimea yako inapata unyevu wa kutosha, kinga dhidi ya magonjwa, na ukuaji w
656
KI
@kilimo_faida_tz
Fanikisha kilimo bora cha mahindi na Super Gro! 🌽💧 Kwa kutumia Super Gro, mimea yako inapata unyevu wa kutosha, kinga dhidi ya magonjwa, na ukuaji wa haraka. Pata mazao bora na mavuno ya uhakika! ✅ 👉 Jipatie Super Gro sasa na uone tofauti shambani kwako! 🚜🌟 #SuperGro #KilimoChaMahindi #MazaoBora #WakulimaWaKisasa #MazaoYenyeThamani
#Kilimo Reels - @mkulima_wakishua tarafından paylaşılan video - Group maalum kwa ajili ya kilimo na biashara ya  kitunguu maji!
Ada 50,000 Malipo 0653 359909 tigo pesa majina Baraka Simion Maligana.
Thibitisha muam
9.5K
MK
@mkulima_wakishua
Group maalum kwa ajili ya kilimo na biashara ya kitunguu maji! Ada 50,000 Malipo 0653 359909 tigo pesa majina Baraka Simion Maligana. Thibitisha muamala wako 0653 359909 whasup. MASOMO. 1.Mahali utakopoweza kulima kwa kukodi au kununua mashamba kwa bei rahisi. 2.Jinsi ya kutofautisha msimu wa kitunguu kama unalima kilosa kisikutane na cha Iringa au Dodoma. Kama unalima Kilimanjaro kisikutane na cha Singida. Kama unalima Turiani kisikutane na cha Man'gula ili kulinda soko lako la ndani. 3.Jinsi ya kusafirisha vitunguu nje ya nchi na kulijua soko lake linataka kitunguu gani? 4.Ulime mbegu gani ili kitunguu chako kiwe na soko zuri. 5.Msimu wa kununua vitunguu kwa bei ya chini na kuhifadhi kuja kuuza baadae. 6.Kwann Uhifadhi vitunguu maji kwa wingi uje kuuza baadae. 7.Machimbo na mikoa inayotoa vitunguu maji kwa bei rahisi. 8.Mbegu gani ukipanda wateja watakufata shamba wenyewe shambani. 9.Njia gani utumie kusafirisha na kuuza vitunguu sokoni kwa kumwepa Dalali. 10.Kujua Taasisi zinazojihusisha na kilimo cha vitunguu maji ambazo zitakuuzia mbegu kwa bei rahisi na wao ndio watakuja kununua hiko kitunguu shambani na kukufundisha soko lisilo kufa. DARASA LINAANZA 1/2/2026 NA LITAISHA 1/4/2026 TUTAKUA NA SIKU 60 ZA KUSOMA NA KUJIFUNZA LENGO NI KUMUUNGANISHA MKULIMA NA MFANYABIASHARA KUWA KITU KIMOJA. BAADA YA MAFUNZO TUTATEMBELEA MASHAMBA YA MKULIMA WAKISHUA GROUP NA MAGHALA MAKUBWA YA VITUNGUU MAJI KUJIFUNZA NAMNA YA KUHIFADHI VITUNGUU MAJI KWA MUDA MREFU,TUTANUNUA VITUNGUU PAMOJA NA KUHIFADHI KATIKA HIO SAFARI MIKOA ITAKUA MOROGORO NA DODOMA. WAHI SASA NAFASI NI CHACHE. BOSS YA MBONA MKULIMA WAKISHUA.
#Kilimo Reels - @mauamazuri_tz tarafından paylaşılan video - Mche wa cm 30, ndizi ya Kg 65; We huogopi😂
Kama wahenga wanavosema, Kila kitu ni Matunzo!

Karibu sana Maua Mazuri kujifunza zaidi kuhusu kilimo cha
547.9K
MA
@mauamazuri_tz
Mche wa cm 30, ndizi ya Kg 65; We huogopi😂 Kama wahenga wanavosema, Kila kitu ni Matunzo! Karibu sana Maua Mazuri kujifunza zaidi kuhusu kilimo cha Migomba Kibiashara! Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0752102645 #agriculture #bananafarm #kimalindi #tissueculture
#Kilimo Reels - @everpeak_company tarafından paylaşılan video - 💧 KILIMO CHA KISASA KINAANZIA HAPA!

Huu ni mfumo wa kisasa wa umwagiliaji ukiwa kazini ndani ya shamba la parachichi aina ya Hass - umeundwa kuongez
1.9K
EV
@everpeak_company
💧 KILIMO CHA KISASA KINAANZIA HAPA! Huu ni mfumo wa kisasa wa umwagiliaji ukiwa kazini ndani ya shamba la parachichi aina ya Hass — umeundwa kuongeza tija, kuokoa maji, na kuhakikisha miche inakua kwa afya bora kuanzia siku ya kwanza. 👉🏽 Tunatoa huduma kamili: ✅ Ufungaji wa mifumo ya umwagiliaji (Drip & Sprinkler) ✅ Ushauri wa kitaalamu wa kilimo cha parachichi ✅ Upatikanaji wa miche bora ya parachichi Hass ✅ Kilimo chenye matokeo, si majaribio 📈 Kilimo cha Hass si ndoto tena — ni biashara yenye uhakika ukifanya na wataalamu. 📞 Wasiliana nasi leo 0684 414 025, shamba lako lifanye kazi kwa akili 💪🏽🌍 Location: MOROGORO TOWN #ParachichiHass #UmwagiliajiWaKisasa #KilimoBiashara #SmartFarming #AvocadoFarming
#Kilimo Reels - @salama_supergro tarafından paylaşılan video - Kilimo cha maharage na Super Gro..
#supergro 
#maharage 
#kilimobora 
#green
267
SA
@salama_supergro
Kilimo cha maharage na Super Gro.. #supergro #maharage #kilimobora #green
#Kilimo Reels - @mkulima_smartz tarafından paylaşılan video - Endapo utatumia #dripirrigationsystem💧 kwenye kilimo chako cha migomba basi zingatia hili hakika utakuwa wa mfano kuigwa.

Chimba shimo kina sm 60 na
1.5K
MK
@mkulima_smartz
Endapo utatumia #dripirrigationsystem💧 kwenye kilimo chako cha migomba basi zingatia hili hakika utakuwa wa mfano kuigwa. Chimba shimo kina sm 60 na kipenyo sm 60 kiasi cha debe 2_3 kubwa weka kwenye shimo kisha ludishia udongo kiasi tu nakisha acha kwa muda wa siku 5_7. Na apo sasa utapanda mche wako kisha weka drip utaona maajabu ya kilimo hiki. Uzur kilimo cha migomba kwa mtu aliyezingatia vizuri kuanzia maandaliz ya shamba, upandaji, maji na mborea huwa akimtupi bure. Mkulima hapa atapata kjvuna mikungu mikubwa kweli kweli. Sokoni unapokuwa na mikungu mikubwa ndizi zilizokomaa vizuri basi wala huteseki. #kilimochaumwagiliaji ##migomba #kilimobiashara
#Kilimo Reels - @kilimomjini tarafından paylaşılan video - Bado unahofia kwamba Kilimo cha Mjini kina gharama kuanza???. Kuna mbinu nyingi za kujifunza ili uzitumie kulima mbogamboga.

Tarehe 1  March Tunaanza
1.3K
KI
@kilimomjini
Bado unahofia kwamba Kilimo cha Mjini kina gharama kuanza???. Kuna mbinu nyingi za kujifunza ili uzitumie kulima mbogamboga. Tarehe 1 March Tunaanza Darasa la Kilimo cha Mjini online bei ya ofa kubwa haijawahi kutokea. Wasiliana nasi kupitia namba 0726722899 #farmtoserve
#Kilimo Reels - @jidejaydee (onaylı hesap) tarafından paylaşılan video - Mwaka jana mimi na shoga angu Amani tuliongea kuhusu kuanza kilimo ila sijui tuliishia kula nyama 🤷🏽‍♀️ eeeeeeh Mola tuokoe waja wako. 

#2025Posts
673.3K
JI
@jidejaydee
Mwaka jana mimi na shoga angu Amani tuliongea kuhusu kuanza kilimo ila sijui tuliishia kula nyama 🤷🏽‍♀️ eeeeeeh Mola tuokoe waja wako. #2025Posts
#Kilimo Reels - @mkandamizaji (onaylı hesap) tarafından paylaşılan video - HAPA NDIPO TUNAHIFADHI MPUNGA!

WAFANYA BIASHARA WA MCHELE NA WAKULIPA NTAWAPELEKA HAPA ILI UJUE NAMNA YA KUPATA MPUNGA AU KUHIFADHI MPUNGA UTAKAO LIM
242.8K
MK
@mkandamizaji
HAPA NDIPO TUNAHIFADHI MPUNGA! WAFANYA BIASHARA WA MCHELE NA WAKULIPA NTAWAPELEKA HAPA ILI UJUE NAMNA YA KUPATA MPUNGA AU KUHIFADHI MPUNGA UTAKAO LIMA AU UTAKAO NUNUA! NASEMAJE!! ZIMEBAKI SIKU 4 TUELEKEE KWENYE SHAMBA TOUR SEASON 10 NAFASI ZIMEBAKI CHACHE, MZAZI UNAYETAMANI MWANAO AJIFUNZE KUHUSU KILIMO AU BIASHARA YA NAFAKA BASI NIPE NIENDE NAYE SHAMBANI KWA SIKU 3 UTANISHUKURU!! GHARAMA YA SH LAKI 3 ITA COVER NAULI YA KWENDA NA KURUDI, CHAKULA KWA SIKU ZOTE NA MALAZI KWA SIKU ZOTE . Unataka Mungu akupe nn tena? UNAYETAKA KUSHIRIKI ANDIKA NENO “Shamba Tour KISHA TUMA KUJA 0756 444 000 NAMI NITAKUPA MAELEKEZO! SAFARI NI TAREHE 5/3/2026 NAKUSUBIRI INBOX🙏🏿

✨ #Kilimo Keşif Rehberi

Instagram'da #Kilimo etiketi altında 402K paylaşım bulunuyor ve platformun en canlı görsel ekosistemlerinden birini oluşturuyor. Bu devasa koleksiyon, şu an gerçekleşen trend anları, yaratıcı ifadeleri ve küresel sohbetleri temsil ediyor.

En yeni #Kilimo videolarını keşfetmeye hazır mısınız? Bu etiket altında paylaşılan en etkileyici içerikleri, giriş yapmanıza gerek kalmadan görüntüleyin. Şu an @jidejaydee, @mauamazuri_tz and @mkandamizaji tarafından paylaşılan Reels videoları toplulukta büyük ilgi görüyor.

#Kilimo dünyasında neler viral? En çok izlenen Reels videoları ve viral içerikler yukarıda yer alıyor. Yaratıcı hikaye anlatımını, popüler anları ve dünya çapında milyonlarca görüntüleme alan içerikleri keşfetmek için galeriyi inceleyin.

Popüler Kategoriler

📹 Video Trendleri: En yeni Reels içeriklerini ve viral videoları keşfedin

📈 Hashtag Stratejisi: İçerikleriniz için trend hashtag seçeneklerini inceleyin

🌟 Öne Çıkanlar: @jidejaydee, @mauamazuri_tz, @mkandamizaji ve diğerleri topluluğa yön veriyor

#Kilimo Hakkında SSS

Pictame ile Instagram'a giriş yapmadan tüm #Kilimo reels ve videolarını izleyebilirsiniz. Hesap gerekmez ve aktiviteniz gizli kalır.

İçerik Performans Analizi

12 reel analizi

✅ Orta Seviye Rekabet

💡 En iyi performans gösteren içerikler ortalama 406.1K görüntüleme alıyor (ortalamadan 2.9x fazla). Orta seviye rekabet - düzenli paylaşım momentum oluşturur.

Kitlenizin en aktif olduğu saatlerde haftada 3-5 kez düzenli paylaşım yapın

İçerik Oluşturma İpuçları & Strateji

🔥 #Kilimo yüksek etkileşim potansiyeli gösteriyor - peak saatlerde stratejik paylaşım yapın

📹 #Kilimo için yüksek kaliteli dikey videolar (9:16) en iyi performansı gösteriyor - iyi aydınlatma ve net ses kullanın

✨ Çok sayıda onaylı hesap aktif (%25) - ilham almak için içerik tarzlarını inceleyin

✍️ Hikayeli detaylı açıklamalar işe yarıyor - ortalama açıklama uzunluğu 595 karakter

#Kilimo İle İlgili Popüler Aramalar

🎬Video Severler İçin

Kilimo ReelsKilimo Reels İzle

📈Strateji Arayanlar İçin

Kilimo Trend Hashtag'leriEn İyi Kilimo Hashtag'leri

🌟Daha Fazla Keşfet

Kilimo Keşfet#kilimo cha maharage#kilimo cha alizeti#kilimo cha nyanya#kilimo cha matango#kilimo cha viazi mviringo#kilimo cha tikiti maji#wizara ya kilimo#kilimo cha kokoa